Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #21
Mkuu hiyo naipata Kwa huko Dar? Huku niliko Sina uhakika kama nitaipata(Claus Porto Musgo Real Alto Mar) tafuta hiyo.. then tafuta na fragrance nzuri ya KIKE.
Fanya mixing ili upate signature moja nzuri.. utawaona wakavyokuganda.
Mie huwa namix yakiume na yakike unapata blend moja kali sana.. ukipishana na mtu lazima ageuke.