Unatumia Pafyumu gani?

Unatumia Pafyumu gani?

(Claus Porto Musgo Real Alto Mar) tafuta hiyo.. then tafuta na fragrance nzuri ya KIKE.

Fanya mixing ili upate signature moja nzuri.. utawaona wakavyokuganda.

Mie huwa namix yakiume na yakike unapata blend moja kali sana.. ukipishana na mtu lazima ageuke.
Mkuu hiyo naipata Kwa huko Dar? Huku niliko Sina uhakika kama nitaipata
 
Nenda Kwa Pablo, chukua mils 10 za aina tatu Kisha utakayoipenda ndio unakua unanunua.
IMG20240408075428.jpg



Hapo 60 mils ilinitoka 500k
 
(Claus Porto Musgo Real Alto Mar) tafuta hiyo.. then tafuta na fragrance nzuri ya KIKE.

Fanya mixing ili upate signature moja nzuri.. utawaona wakavyokuganda.

Mie huwa namix yakiume na yakike unapata blend moja kali sana.. ukipishana na mtu lazima ageuke.
Chief kama una namba ya muuzaji wa hizi naomba msaada.
 
Tafuta bvlgari man in black ni nzuri hachoshi na haiboi,bei yake nikuanzia 200k adi 250k og inakuwa pamoja na deodorant yake.

image.jpg
Pia kama unapenda kunukia kitajiri tafuta Baccarat og, bei sio chini ya ya 600k ila tester unaweza pata kwa 150k
 
Mazee Nina Pafyumu Sita, ila Nahisi zote Ninapigwa na kitu kizito .

Hazikai muda mrefu kwenye Nguo yaan unapuliza ,harufu sawa inaweza kua nzuriii ya kuvutia lakini hazikai muda mrefu.

Nisaidieni ni wapi na Pafyumu ipi ni Original. Akina Dada wa JF mnaowanunulia Mabwana zenu Pafyumu , nisaidieni Pafyumu nzuri ya Kiume ambayo harufu yake inaweza kukufanya uliwe kimasihara !!
Nimeacha kutumia pafyumu almost miaka mitano sasa hivi. Harufu kuwa karibu na pua muda mrefu nilikua naona ni kero, since then natumia spray mara moja moja sana yaani spray moja naweza kumaliza nayo mpka miezi 6 haijaisha. Mara ya mwisho naachana na pafyumu around mwaka 2018-2019 nilikua natumia diable bleu kwa kipindi hicho ilikua inauzwa 15k tu sijui sasa hivi ni shilingi ngapi, kama sio mtu wa show-offs ipo fresh harufu yake kwenye nguo inadumu siku nzima
 
natumia stranger hii nilihongwa na dem alinunua elfu 50 makumbusho pale umeme iyo alafu nna UDV hii og yake ipo ila nilienda kwa copy ya buku 5 ila inakaa kimtindo body spray nilikuwa natumia nivea dry impact ila saiv hazipatikani sokoni kabisa.
Nivea kuna, dry comfort, active fresh, Pearl & Beauty, fresh natural e.t.c nazo umekosa...!?
 
Back
Top Bottom