Unatumia sabuni gani kuogea?

Vaseline natumia usoni tu coz uso uko sensitive kubadili badili mafuta

Lotion napaka kwingine na vile hua situlii na lotion moja sasa[emoji28]
Wewe ndo mimi kabisa. Hapa mr.juzi katoka kunisema kwann situlii kwenye lotion moja. Usoni ni vasseline au Harboline(jaribu hayo)ni mazuri naona kidogo yanashinda vasseline.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 

naogea detto ya lemon napenda harufu yake adi toilet ukiingia unaisikia
 
Hello, hii kwa Dar napata wapi kwa bei hiyo

Hizi sabuni pharmacy ndo huwa wanauza. Kwa dar kuna pharmacy. Mara nyingi inauzwa 4,000.

Nimenunua pharmacy sudani tmk Kama unaelekea Tandika kwenye kona pale ipo kushoto.
 

Tricona
 
Miaka ile ndo miaka gani bro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…