Unatumia sabuni gani kuogea?

Unatumia sabuni gani kuogea?

Kuna watu niliwakuta wakisema chanzo cha fungus nyingi za wanawake ni sabuni za kutengeneza za wajasiriamali. Sio salama maana hawana vipimo maalumu vya kemikali na inaua bakteria wazuri na kuleta fungus. I was shocked.
Medicated soaps sio nzuri zinaua normal skin bacteria.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMANDA....
ila kumbe Bado watu wanaogea sabuni hizi....shower gel zimejaa kibao supermarket.
 
Normal skin bacteria unawapeleka wapi wakati athari yao ni kubwa kuliko faida?

Wanaleta muwasho, vipele na hata magonjwa.

Wenye umuhimu ni wale bacteria wa sehemu za siri za wanawake ba utungo/nta ya masikioni.

Bacteria wengine wenye faida ni wapi?
Normal flora..ni muhimu mwilini mwako..kila sehemu ya mwili wako iko na bacteria wazuri..just go and read dude usinichoshe na kukosa kwako elimu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiiangalia tu inakuhamasisha ukaoge tena[emoji16]....mm ikiniishia nitaitafuta hiyo cku mpaka niipate. Mana mpaka sasa sijaona mbadala wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha hizi nikiendaga moshi ndo natumiaga sana maana ndo sabuni za kuogea kule. Bibi anazipenda mno. Toka nazaliwa miaka hiyooo bibi ndo sabuni zake aisee.. yaani ukiogea jioni na maji ya moto jamani hutoki kwenye shower[emoji23] najiulizaga bibi anaoga nn 2 hours bafuni kumbe sabuni inahamasisha..

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Usisahau kumpelekea Bibi zawadi ya sabuni yake aipendayo....mchukulie hata za 30,000 tu....Atafurahi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom