Unatumia sabuni gani kuogea?

Unatumia sabuni gani kuogea?

Kuna watu niliwakuta wakisema chanzo cha fungus nyingi za wanawake ni sabuni za kutengeneza za wajasiriamali. Sio salama maana hawana vipimo maalumu vya kemikali na inaua bakteria wazuri na kuleta fungus. I was shocked.
Ni kweli..

Mfano kuna sabuni zimeandikwa kabisa kuwa ni "Anti-bacterial"..lakini watu bado wanaogea daily..Hizi zinaua normal flora ambao ni bacteria wanaolinda sehemu mbalimbali mwilini mwetu..hawa normal flora huwa wanapambana/competition na fungus na bacteria wengine kwenye kupata chakula na mazingira mazuri ya kukua na normal flora huwa wanaibuka washindi..kuwaua kwa hizo sabuni ina maana kuwa fungus watapata mazingira mazuri ya kukua and then watasababisha infections..mfano Vaginal Candidiasis.

Anti-bacterial soaps ni kwa ajili ya kunawia mikono baada ya kushika takataka au kuoga pale mwili mzima unapohisi umekuwa exposed na hizo takataka..they are don't meant to be used on a daily normal basis.
 
Hahaaa napenda coz ni salama ngozi inabaki the way ilivo, nikipaka na mgando wa Vaseline baaasi shuhuli imeisha
Kwahiyo mkuu wewe mambo ya lotions za queen elizabeth hapana kabisa?.

Sema kama una glow no problem kabisa maana unavyovitumia haviumizi ngozi kabisa.
 
Vaseline natumia usoni tu coz uso uko sensitive kubadili badili mafuta

Lotion napaka kwingine na vile hua situlii na lotion moja sasa[emoji28]
 
Ni kweli..

Mfano kuna sabuni zimeandikwa kabisa kuwa ni "Anti-bacterial"..lakini watu bado wanaogea daily..Hizi zinaua normal flora ambao ni bacteria wanaolinda sehemu mbalimbali mwilini mwetu..hawa normal flora huwa wanapambana/competition na fungus na bacteria wengine kwenye kupata chakula na mazingira mazuri ya kukua na normal flora huwa wanaibuka washindi..kuwaua kwa hizo sabuni ina maana kuwa fungus watapata mazingira mazuri ya kukua and then watasababisha infections..mfano Vaginal Candidiasis.

Anti-bacterial soaps ni kwa ajili ya kunawia mikono baada ya kushika takataka au kuoga pale mwili mzima unapohisi umekuwa exposed na hizo takataka..they are don't meant to be used on a daily normal basis.

Woooow, mumesema vyema juu ya hili. Nakumbuka daktari alinishauri toka shule niachane na hizi sabuni za kunukia. Yaan ni nadra naogeaga dettol. Keep up kutoa Elimu msasha

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Naona JAMAA wamepindua meza
Ila.kuna moja inaitwa MBUNI iko poa sana
 
Back
Top Bottom