Unatumia sabuni gani kuogea?

Unatumia sabuni gani kuogea?

Natumia protex na hiii inategemeana na mood ya siku
JPEG_20210820_225953_2807503694574370886.jpg
 
kuna hii imekuja juzi juzi inaitwa "eva" napigia sana punyeto
Mkuu tumia sabuni ya magadi ina povu lakutosha full mtelezo na haina harufu wala kemiko, asa hiyo yenye harufu ipo siku utasikia harufu yake udise buree [emoji23][emoji23]
 
Nimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni nzuri sana.

Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo lake luningani. Pia wangapi wanakumbuka sabuni ya Robert Medicated Soap? Siku hizi hizo sabuni kama zimepotea hivi.

Je, kwa sasa huwa unatumia sabuni gani wakati wa kuoga?mimi siku hizi sijui kwaajili ya ubahili, natumia tu Jamaa zile za Kenya. Wewe je? Tiririka...
Magadi
 
Nimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni⁸ nzuri sana.

Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo lake luningani. Pia wangapi wanakumbuka sabuni ya Robert Medicated Soap? Siku hizi hizo sabuni kama zimepotea hivi.

Je, kwa sasa huwa unatumia sabuni gani wakati wa kuoga?mimi siku hizi sijui kwaajili ya ubahili, natumia tu Jamaa zile za Kenya. Wewe je? Tiririka...
Natumia Panga au Jamaaa au white wash
Tena hii ya mwisho inampovu hatari
 
Tofauti ipo aisee

Huwezi fananisha harufu ya hizo na Jamaa hata kama zote ni sabuni

Kuna Mzungu alikuja ''summer trip'' shuleni tukiwa O-level akatugawia sabuni ya Dove for men na ya Nivea ya shower gel moja moja kwenye chupa kama hiyo.

Ile Dove sijawahi kuonaga tena bongo hata kwenye S'market mpaka leo na ukiogea ina harufu nzuri sana na hata usipojipaka mafuta inakung'arisha kama vile umejipaka, na Nivea naonaga tu body lotion na face wash.
Mbona zipo kibao. Me mwenyewe natumia Dove miaka na nanunua Kariakoo
20210824_191204.jpg
 
Back
Top Bottom