Hahaha, usianze kunikosea adabu we mtotoAisee, nimeulizwa sabuni gani natumia inamaanisha sasa. Nikitaja sabuni nililizokuwa natumia we utachanganyikiwa maana zingine wewe unavyozaliwa hata hazikuwepo
Nifanya uchunguzi nikagundua ni uchawi tu umefanyika.....Hivi kile kikaratasi cha kwenye "EMPERIAL" mbona huwa akiishagi au hakilowi na kuchanika! Utaoga weee utamaliza sabuni yako baada ya wiki 2 lakini kile kikaratasi pale kinabaki vile vile!
Sabuni ya magadi ndio mpango mzima.hzo zengine ni mbwembwe tu.
Inaisha harakaa halafu ina povu kinomaSabuni ya magadi do me right...hutojutia ukitumia hii
Alikuwa na kaka yake akiitwa Kuringe Mongi kama sio DTV basi CTN ya miaka ile kabla ya kuwa Channel TenAu Suzana Mongi
Yah, Arusha, Kilimanjaro na Manyara ndio sabuni yao kuu hii. Pia kuna White wash nayo inatoka Kenya japo yenyewe sii maarufu kama JAMAA.Yah.. Na kunaBaadhi Mikoa ya Kaskazini Wanazo..
KOMOA umeisahau kwenye list.wengine tulikua tunatumia sabuni zinaitwa "Mshindi", "Komesha"
Nayo iko vizuri.Protex deep clean..nikitoka kula shower najisikia fresh ile mbaya
Wazee wakujimwambafayi
Hapa ndio tunajua tofauti ya Tandale na Masaki
Wakati wa break ya taarifa ya habari inayosomwa na Betty Mkwasa ITV miaka ya 1997 na 1998, baada ya habari za kitaifa utaskia tangazo:-
Nieleze siiiri ya urembo wako......''sio sirii ni Revola''
Tinti..ndiiii
Tofauti ipo aiseeAh wapi!
Mbona ni sabuni ya kawaida tu.
Naona hicho kichupa kinawazuzua eeh?
Chukulia kama soda iliyopo kwenye chupa na iliyopo kwenye kopo. Hazinaga tofauti...