Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Mihogo mitano ya kukahanga,500Tsh,Chai kikombe kimoja,200Tsh,jumla 700,siku nikiwa vzr,mtori na chapati 2,2600Tsh
 
Supu ya kuku 5,000/ chapati 2 1,000 Maziwa 1,000 juice au salad 3,000 Jumla 10,000/=
 
500 tu.
Chapati 2=400
Chai ya strungi=100
Jumla kuu=500
 
Sambusa 3.... 1500
Chapel 1....500
Mayai 2.....1000
Soseji 1.....800
Maziwa.... 500
Juice....... 1000
 
Duh! no offence chief....hiyo supu ya 500 ni ya aina gani!!?
 
ningeshangaa nisingekuona hapa homie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…