Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

You are what you eat.....kama umekula vitumbua....mihogo....maandazi...chapati etc.....thats who you are.
 
Full English breakfast, thick slice of black pudding, na viazi vikuu hapa Mackerezurre 75,000/-
 
-Mihogo mitatu Tsh300 na Chai Tsh 200,Jumla Ths 500.
-Mchana Wali wa Tsh 1500.
-Usiku nakuwa Ghetto Napika Ugali nalumangia na Dagaa Mchele wa Buku.
 
Baada ya kulisha Ng'ombe
FB_IMG_1530805429792.jpg
 
Back
Top Bottom