Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Unatumia shilingi ngapi kwa ajili ya kifungua kinywa asubuhi?

Chapati mbili 500 + Maharage ya 500 jumla buku,nategeshea mida ya saa 4 nikipiga hii kitu kula tena saa 11 ndio mpaka kesho tena.
Wapi huko chapati 250? Tugeane ruti tuhame huku kwenye chapati 300
 
-Mihogo mitatu Tsh300 na Chai Tsh 200,Jumla Ths 500.
-Mchana Wali wa Tsh 1500.
-Usiku nakuwa Ghetto Napika Ugali nalumangia na Dagaa Mchele wa Buku.
Umewakilisha ratiba za wanafunzi wengi sana mkuu
 
Back
Top Bottom