Unatumia Smart Collection ipi? (Kwa Makabwela wenzangu)....!!!!

Unatumia Smart Collection ipi? (Kwa Makabwela wenzangu)....!!!!

50 mpaka 60 dia kweli smart zinachakachuliwa sana siku hizi

Duuuh balaa mkuu ngoja nistick kwanza na smartcollection mpaka mambo ya mbombenga yatakapokaa fresh!
 
Walipoacha tu kutengeneza yale mafuta ya AYU na BODYLINE baasi ni mwendo wa MBUNJU mwanzo mwisho...
 
31ll9kQEaHL.jpg

Duh... Usinikumbushe unyunyu wa my first daaaah!!!!
 
Nikichukua udi wangu wa 100 ni mwezi mzima.
 
Walipoacha tu kutengeneza yale mafuta ya AYU na BODYLINE baasi ni mwendo wa MBUNJU mwanzo mwisho...

I miss them old good days.. kitu cha AYU... nikipiga na shati langu la TAMBALA toka Malawi kwa Kamuzu, na chini CHACHACHA..na suruali ya KODRAI koti la jeans la ZICO... utanitaka..!!
 
Back
Top Bottom