bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
Kwa sasa unajipuliza pafyum gani [emoji848]
Mimi Sauvage by Dior, wewe je?
Mimi Sauvage by Dior, wewe je?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halina harufu labda utapata harufu ya matemate [emoji3][emoji3]kwa mwanaume hata ukipaka vumbi la congo inatosha
Duh [emoji848]Perfume Aina Ya Lord Tshs 4000/= Haa......Haa.....
Ukiutandika Mwili Upo Sawa Sawa Na Ule Wa MillionDuh [emoji848]
Saf sanaRoyar milage
Hii ya uhakika sana mkuu.Mashine hiyo miaka nenda rudi haipotezag ubora wake [emoji91][emoji91]
[emoji3] naielewa sana hiyo ni noma unabadil hal ya hewa ya eneoHii ya uhakika sana mkuu.
Ukiingia sehem unatawala kwa smell murua sana[emoji16]
Hii ya uhakika sana mkuu.
Ukiingia sehem unatawala kwa smell murua sana[emoji16]
Hii nlinunua 850000 mkuu.Inauzwaje hii kiongozi...?
Hii nlinunua 850000 mkuu.
Ni laki nane na nusu mkuu.Mkuu ni laki nane na nusu au elfu themanini na tano...?
Ebwana ehh !!!! Kumbe mimi ndio sina pesa nimeaminiHii nlinunua 850000 mkuu.
Nivea baba laoKwa sasa unajipuliza pafyum gani [emoji848]
Mimi Sauvage by Dior, wewe je? View attachment 1967811
[emoji16][emoji16] hapana mkuu, huenda pesa unayo ila hujaamua kununua tuEbwana ehh !!!! Kumbe mimi ndio sina pesa nimeamini