bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,337
- 2,339
- Thread starter
- #101
SafiFacebook Spray
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiFacebook Spray
Kasablanka[emoji3][emoji3]Kwa sasa unajipuliza pafyum gani [emoji848]
Mimi Sauvage by Dior, wewe je? View attachment 1967811
Hiyo cndo ile naiskiaga kweny misiba au sio hyo [emoji23][emoji23]Kasablanka[emoji3][emoji3]
Sijajua kwa kweli naonaga vyupa au mabox matupu majalalani[emoji23][emoji23]Hiyo cndo ile naiskiaga kweny misiba au sio hyo [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakua ndo yenyewe hyoSijajua kwa kweli naonaga vyupa au mabox matupu majalalani[emoji23][emoji23]
Kumbee[emoji13][emoji13][emoji1787][emoji1787][emoji1787] itakua ndo yenyewe hyo
Famba
[emoji3] mbn kama fekero
Mbwaknii bro
[emoji3]Casablanca[emoji23]
Haruf yke kali hyoKrusumuu
kama vitunguu swaumu kali sanaKrusumuu
Hapana si kwamba huna pesa bali wewe ndiye mwenye nidhamu katika matumizi ya pesa! Miili yetu hii ukifa leo utazikwa mavumbini utaoza na kutoa kila aina ya harufu mbaya, je kuna sababu gani ya kuupulizia pafyum ya gharama kubwa kiasi hiko wakati mtaani ombaomba na watoto yatima wamejaa namna hii? Sio hao tu usikute hata ndugu yake hawezimsaidia kiasi hiko cha pesa!Ebwana ehh !!!! Kumbe mimi ndio sina pesa nimeamini
Kwenye vitabu vya Dini iliandikwa kila binadam atakula kutokana na jasho lake , mimi naweza kununua unyunyu wa laki 9 alafu nikashindwa kumsaidia mtu , Dunia ya saaa haipo hivyo leo tafuta mashule yamazaminiwa na taasisi za dini alafu waambie hauna Ada kama watakuruhusu uwaachie mzigo wako. Imeandikwa kila mtu ataubeba mzigo wakee ,Hapana si kwamba huna pesa bali wewe ndiye mwenye nidhamu katika matumizi ya pesa! Miili yetu hii ukifa leo utazikwa mavumbini utaoza na kutoa kila aina ya harufu mbaya, je kuna sababu gani ya kuupulizia pafyum ya gharama kubwa kiasi hiko wakati mtaani ombaomba na watoto yatima wamejaa namna hii? Sio hao tu usikute hata ndugu yake hawezimsaidia kiasi hiko cha pesa!
Sawa mkuu, huo ni mtazamo wako na upo huru kuishi na kutoa msaada kadri unavyojiskia, sema tu binadamu tunatofautiana kwa mitazamo na roho za kutoa!Kwenye vitabu vya Dini iliandikwa kila binadam atakula kutokana na jasho lake , mimi naweza kununua unyunyu wa laki 9 alafu nikashindwa kumsaidia mtu , Dunia ya saaa haipo hivyo leo tafuta mashule yamazaminiwa na taasisi za dini alafu waambie hauna Ada kama watakuruhusu uwaachie mzigo wako. Imeandikwa kila mtu ataubeba mzigo wakee ,
Hakika kabisa, Dunia ya sasa Tupac alisema Dunia ina hela ya kutengeneza Vifaa vya vita ila hawana hela ya kuwasaidia maskini na wanaokufa na njaaSawa mkuu, huo ni mtazamo wako na upo huru kuishi na kutoa msaada kadri unavyojiskia, sema tu binadamu tunatofautiana kwa mitazamo na roho za kutoa!
Yuko ambaye yu tayari kujinyima ili asaidie wengine na yupo ambaye hata awe na ziada mpaka aje kukusaidia ni shughuli pevu!