Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

Mkuu, huu unyunyu nauona sana IG unaweza nisaidia kidogo sifa zake maana kila anayeuza marashi huko naona ana-upload picha za hii inaonekana ni kisanga[emoji16]
Haina harufu kali ila walio karibu nawe ndo wanaiitikia harufu maridhawa, kiufupi iko vizuri.
 
Hakika kila mtu na ulevi wake, mimi hata nikinunua unyunyu huwa nasahau hata kuupiliza, sina harufu yoyote na napenda pia harufu halisi hata mdada awe mcute vipi akiwa na manukato makali hata udi tu basi mimi nakaa mbali nae.
Kila mtu na starehe yake hakika [emoji1376][emoji1376][emoji1376]
 
Kwa kweli unyunyu na Saa ya mkononi ni vitu ninavyoweza kununua kwa bei yoyote ile.
 
Kwa kweli unyunyu na Saa ya mkononi ni vitu ninavyoweza kununua kwa bei yoyote ile.

Saa yes tuko pamoja hapo ulevi wangu pia [emoji1376] nakumbuka niligombana na rafiki zangu niliponuanua s3 gear kwa milioni 1 na laki 2 nilikaa nayo miezi miwili tu nikaidondosha, ulevi mwingine simu hapo utaniua [emoji855]
 
Birthday present from jina kapuni and then I fall in love with this perfume.

E02A0557-B4CF-4277-A1BF-47E71E88C8F0.jpeg
 
Back
Top Bottom