Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Weeeeeeeeeeeeeeeeee acha tu nisiseme hapa nitaonekana mbwembwe ila kiukweli ni kwamba katika kupika aaaah alhamdulilah nikaa jikoni najua kutengeneza chakula cha kumfanya mama mkwe amuonee wivu binti yake.Huon ni chache tu tano next time nitakushangazaaa maana kwa kukosoa hujambo hivi unajua kupika wewe?