Unatumia utaalamu gani kufanya chapati zako za kusukuma ziwe laini?

Usikate tamaa rudia tena kujifunza. Kuna watu ni watalaamu wa kupika chapati. Zungumza na mojawapo aje kwako au uende kwake akupe usimamizi wa hatua kwa hatua hadi upatie. Na ukipatia fululiza hata miezi mitatu kwa kila wiki uwe unapika chapati walau mara 4 hii itakufanya uweze kufuzu na kumudu kuwa mpishi mzuri wa chapati.
Muda wa kupika sina kwa sasa

Nitafuata ushauri wako nikipata muda wa kukaa nyumbani
 
Mwanamke anae jua kupika chapo hamna chakul inamshinda tunamini ivo.
wengine wanapika chapo ngumu kama mikate ya ekaristi
 
Wakato wa kukanda?tuelekeze sasa
Kabla ya kuanza chochote ukishaweka chumvi kwwnye unga wako na kusambaza ienee, ukusanye uinuke na katikati weka kishimo na uweke mafuta ya kula ya kutosha na kisha uchukue unga wa pembeni ufunikw shimo hilo la mafuta. Baada ya hapo changanya unga vizuri hadi mafuta yaendee kote na kuufanya unga uwe na vidonge vidogovidogo kutokana na mafuta hayo. Ukimaliza hapo ndiyo unaweka maji kiasi na kuanza kuukanda unga.

Kama unga utakuwa unakatika ongeza maji kidogo na uendelee kukanda vyema huku ukiongezea unga ili isinate sana. Ukimaliza kukanda kabisa na kuufanya unga wa donge moja lililokamilika. Gawanya donge lako kwa mafungu kadhaa kulingana na idadi ya chapati unazotaka kuzipika.

Sasa sukuma donge moja na kuliweka kwenye umbo la chapati kisha chukua mafuta ya kula kwenye kijiko na sambaza juu yake. Baada ya hapo likunje vyema na kuliweka kando. Rudia kwa madonge yote mpaka yaishe kisha yaache kwa muda robo saa hivi.

Ukifika muda sasa ndiyo unaanza kusukuma donge moja baada ya jingine kuwa chapati kamili kwa ajili ya kupikwa
 
Njoo kwangu nikupe MBWINU za chapati kutoka laini.
Nikiona mada za chapati namkumbuka dada yangu Carleen
Binafsi mbinu zote nimemaliza lakini tokeo la mwisho ni lile lile either kaukau ama ugumu...nimeamua kukubali kushindwa
 
Chapati zinafanya danga lihamie nyumba fulani....... Kama huna nyota ya chapati hapa mjini mdada utapata shida sana,,, watu asubuhi wanataka supu chapati
Unanitia pressure bwana! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabla ya kuanza chochote ukishaweka chumvi kwwnye unga wako na kusambaza ienee, ukusanye uinuke na katikati weka kishimo na uweke mafuta ya kula ya kutosha na kisha uchukue unga wa pembeni ufunikw shimo hilo la mafuta. Baada ya hapo changanya unga vizuri hadi mafuta yaendee kote na kuufanya unga uwe na vidonge vidogovidogo kutokana na mafuta hayo. Ukimaliza hapo ndiyo unaweka maji kiasi na kuanza kuukanda unga.

Kama unga utakuwa unakatika ongeza maji kidogo na uendelee kukanda vyema huku ukiongezea unga ili isinate sana. Ukimaliza kukanda kabisa na kuufanya unga wa donge moja lililokamilika. Gawanya donge lako kwa mafungu kadhaa kulingana na idadi ya chapati unazotaka kuzipika.

Sasa sukuma donge moja na kuliweka kwenye umbo la chapati kisha chukua mafuta ya kula kwenye kijiko na sambaza juu yake. Baada ya hapo likunje vyema na kuliweka kando. Rudia kwa madonge yote mpaka yaishe kisha yaache kwa muda robo saa hivi.

Ukifika muda sasa ndiyo unaanza kusukuma donge moja baada ya jingine kuwa chapati kamili kwa ajili ya kupikwa

Wewe ni mwalimu mzuri na kwa hakika kwa staili hiyo chapati lazima ziwe laini na delicious, kudos.
 
Nitajaribu tena kupika
 
Back
Top Bottom