Weeeeeeeeeeeeeeeeee acha tu nisiseme hapa nitaonekana mbwembwe ila kiukweli ni kwamba katika kupika aaaah alhamdulilah nikaa jikoni najua kutengeneza chakula cha kumfanya mama mkwe amuonee wivu binti yake.Huon ni chache tu tano next time nitakushangazaaa maana kwa kukosoa hujambo hivi unajua kupika wewe?
Dah sasa ukisema Chapo unaonekana Mkenya.si mkenya kabisa, hapo temeke kuna chapo ilindondoka chin baati mbaya ilivo lia utasema ni CD imedondoka
Weeeeeeeeeeeeeeeeee acha tu nisiseme hapa nitaonekana mbwembwe ila kiukweli ni kwamba katika kupika aaaah alhamdulilah nikaa jikoni najua kutengeneza chakula cha kumfanya mama mkwe amuonee wivu binti yake.
Yeah chapati napika, hadi Cake, pizza, burger, donuts, aiseee naomba nisikuchanganye.Chapati 🫓 unajua???
Mmmh kweli?Yeah chapati napika, hadi Cake, pizza, burger, donuts, aiseee naomba nisikuchanganye.
Yeah chapati napika, hadi Cake, pizza, burger, donuts, aiseee naomba nisikuchanganye.
😀😀😀Kumbe wadada wa JF kupika hawajui
Usicheke nishawajua msiojua[emoji3][emoji3][emoji3]
Yan mm nimejifunza kupika nikiwa darsa la nne nilinunuliwa visufuria vidogo nachimba shimo naweka mkaa napuliza na mdomo 😀Usicheke nishawajua msiojua
Hongera sana.Yan mm nimejifunza kupika nikiwa darsa la nne nilinunuliwa visufuria vidogo nachimba shimo naweka mkaa napuliza na mdomo [emoji3]
Ukipetwa mchele unapewa chenga unapika [emoji3]maganda ya nyanya wakikaa vibaya unaiba vitunguu na mafuta[emoji1787][emoji1787]
[emoji3]had viive, had la tano napika chakula Cha familia now napika hata Cha watu 20 mwenyew na kupika ndio shughuli kuu ya kwanza naipenda kwenye maishayangu
😂ni kweli wapo na wengine Wana juhudi kujifunza wengine hawana time kabisa 😀Hongera sana.
Kuna Watanzania hawajui pika na wana miaka 35
Chapat Ili ziwe laini kama unauwezo tumia samli kukanda had kupika hata mafuta zinatoka vizuri ila samli is the best wengine wanaongeza maziwa ya unga hii sio kilamtu kw wanaopenda
Ukikanda unga ufunike na uache Kwa dakika kadhaa hata lisaa ukipenda utaona utofauti ngano inakula smooth sana
Hatua zngine ni za kawaida zinaeleweka
Pole bas tumia mafutaZaman nilipenda sana Samli
Siku hizi sipendi kabisa Samli nataka kutapika kabisa
Na wapo watoto wa vijijini miaka 15 hawajui pika kabisa[emoji23]ni kweli wapo na wengine Wana juhudi kujifunza wengine hawana time kabisa [emoji3]