Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Asalalleh..........natumai mu wazima wa afya njema wagonjwa wote Mungu awape uponyaji.
Ndugu zangu leo ningependa niulize hili swali kwa pande zote. Kama wewe ni kijana hujaoa, binti hujaolewa, baba au mama mwenye familia je ulitumia/unatumia vigezo gani vya kumpima mpenzi wako kama ni sahihi kwaajili yako?
Binafsi kama ataweza vumilia ndani ya miezi 6 bila kuniomba pesa huyo ndo atanifaa. Je wewe msomaji wa JF unatumia kigezo gani?
Karibuni sana