Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Win-one siwezi kukuwin na mimiutamtambua kwa matendo
Mbona mnaogopa sana kuombwa hela, wakati ukienda baa unatoa hela. Kila huduma lazima kulipiwaAsalalleh..........natumai mu wazima wa afya njema wagonjwa wote Mungu awape uponyaji.
Ndugu zangu leo ningependa niulize hili swali kwa pande zote. Kama wewe ni kijana hujaoa, binti hujaolewa, baba au mama mwenye familia je ulitumia/unatumia vigezo gani vya kumpima mpenzi wako kama ni sahihi kwaajili yako?
Binafsi kama ataweza vumilia ndani ya miezi 6 bila kuniomba pesa huyo ndo atanifaa. Je wewe msomaji wa JF unatumia kigezo gani?
Karibuni sana
hauwezi🙂Win-one siwezi kukuwin na mimi
AsieUnamjua kwa kuwa mkweli kwako, hasiye na tamaa kubwa ya mali na fedha, anayejipenda na kunipenda
Huenda naweza nipe nafasihauwezi🙂
Asalalleh..........natumai mu wazima wa afya njema wagonjwa wote Mungu awape uponyaji.
Ndugu zangu leo ningependa niulize hili swali kwa pande zote. Kama wewe ni kijana hujaoa, binti hujaolewa, baba au mama mwenye familia je ulitumia/unatumia vigezo gani vya kumpima mpenzi wako kama ni sahihi kwaajili yako?
Binafsi kama ataweza vumilia ndani ya miezi 6 bila kuniomba pesa huyo ndo atanifaa. Je wewe msomaji wa JF unatumia kigezo gani?
Karibuni sana
TRUE,kuna demu nilimpeleka ghetto akaanza kulichambua na full judgement kibao na kila siku ana shida ya hela nimeona bora nimpotezeeKama mtu hajaziona nyakati zoko ngumu na akaendelea kukuchagua (ukiwa huna kitu, au huna titles zozote, madhaifu yako au ukiwa katika mitihani ya maradhi) basi usije ukasema anakupenda.
Nilitaka kuweka kambi kwenye huu uzi ila hii comment inafanya nalog out mazimaUnamjua kwa kuwa mkweli kwako, hasiye na tamaa kubwa ya mali na fedha, anayejipenda na kunipenda
asante mkuu wengne tulikimbia shule tulipojua tu kuhesabuAsie
Usijali mkuu ni madhara ya lafudhi sio kukosa elimu.asante mkuu wengne tulikimbia shule tulipojua tu kuhesabu
Kwa nini mkuuNilitaka kuweka kambi kwenye huu uzi ila hii comment inafanya nalog out mazima
chukuaHuenda naweza nipe nafasi
Rafudhi❌Usijali mkuu ni madhara ya rafudhi sio kukosa elimu.