Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

Still wa Dre
 
Shoga yangu ana simu mbili sijawahi muona simu yake ikiita, hata vibration hajaweka, simu ikiita unaona mwanga tu.

Ana wanaume wawili ila anaishi na boyfriend 🤣 na ikifika saa 4 usiku huwezi mpata mpaka kesho yake kuanzia saa tatu.
Alinambia anaishi kwa shida maana ikitokea shida kwao hawawezi mpata usiku.

Ati boyfriend alimuuliza mbona simu zako hazinaga mlio? Akajibu sipendagi keleke nikikuta missed call napiga😜 na kwa nini unazima simu usiku? Akajibu sipendagi usimbufu wa simu za kazini usiku🤣

Kuna siku nilimuona na chakula kwenye sahani ananigongea usiku nikajiuliza vip mbona misosi usiku? Akajibu "kale kapuuzi si kamepiga nikiwa na shemeji yako ikabidi nikate simu nijifanye nimekupokea wewe " vip shoga yangu unaendeleaje? Nisamehe nakuletea chakula sasa hivi. Pole kwa kuumwa.🤣🤣 hizi simu.
 
[emoji28][emoji28],aisee mbona anaishi kwa mateso sana,kama nauona jinsi moyo wake ambavyo haujatulia,kwanini asibaki ma mmoja awe huru?au ndio anaingiza kipato kwa njia hiyo? kuna siku litamkuta jambo
 
Levola
Leevoolaa
Leeevooolaaa
 
😃😃😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu wanayawezaa khaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…