Unatumia wimbo gani kama ringtone kwenye simu yako?

Wakuu,

Kila mtu ana ladha yake kwenye kuweka muito wa simu(ringtone),wengine hutumia ringtone zilizokuja na simu na wengine hutumia(local ringtone)yaani ile miziki alizohifadhi kwenye simu yake kutokana ya aina ya muziki anaopendelea,wengine huweka mahubiri,wengine sauti ya wanyama,background za movie nk.

Na kuna wale wa vibration full time(hawa ndio nahisi huwa hawapokei namba ngeni(sijui kwanini[emoji848][emoji3])

Pia,wengine huweka ili kutofautisha aina ya wapigaji kwenye simu yake.

Mimi natumia wimbo wa Man down wa Rihanna sababu unaanza na beat zuri lililochanganika na king'ora cha polisi hivyo ni rahisi kusikia.

Wewe unatumia ringtone ipi? na kwanini?

Karibu.

]

Still wa Dre
 
Shoga yangu ana simu mbili sijawahi muona simu yake ikiita, hata vibration hajaweka, simu ikiita unaona mwanga tu.

Ana wanaume wawili ila anaishi na boyfriend 🤣 na ikifika saa 4 usiku huwezi mpata mpaka kesho yake kuanzia saa tatu.
Alinambia anaishi kwa shida maana ikitokea shida kwao hawawezi mpata usiku.

Ati boyfriend alimuuliza mbona simu zako hazinaga mlio? Akajibu sipendagi keleke nikikuta missed call napiga😜 na kwa nini unazima simu usiku? Akajibu sipendagi usimbufu wa simu za kazini usiku🤣

Kuna siku nilimuona na chakula kwenye sahani ananigongea usiku nikajiuliza vip mbona misosi usiku? Akajibu "kale kapuuzi si kamepiga nikiwa na shemeji yako ikabidi nikate simu nijifanye nimekupokea wewe " vip shoga yangu unaendeleaje? Nisamehe nakuletea chakula sasa hivi. Pole kwa kuumwa.🤣🤣 hizi simu.
 
Ana wanaume wawili ila anaishi na boyfriend [emoji1787] na ikifika saa 4 usiku huwezi mpata mpaka kesho yake kuanzia saa tatu.

Ati boyfriend alimuuliza mbona simu zako hazinaga mlio? Akajibu sipendagi keleke nikikuta missed call napiga[emoji12] na kwa nini unazima simu usiku? Akajibu sipendagi usimbufu wa simu za kazini usiku[emoji1787]

Kuna siku nilimuona na chakula kwenye sahani ananigongea usiku nikajiuliza vip mbona misosi usiku? Akajibu "kale kapuuzi si kamepiga nikiwa na shemeji yako ikabidi nikate simu nijifanye nimekupokea wewe " vip shoga yangu unaendeleaje? Nisamehe nakuletea chakula sasa hivi. Pole kwa kuumwa.[emoji1787][emoji1787] hizi simu.
[emoji28][emoji28],aisee mbona anaishi kwa mateso sana,kama nauona jinsi moyo wake ambavyo haujatulia,kwanini asibaki ma mmoja awe huru?au ndio anaingiza kipato kwa njia hiyo? kuna siku litamkuta jambo
 
Wakuu,

Kila mtu ana ladha yake kwenye kuweka muito wa simu(ringtone),wengine hutumia ringtone zilizokuja na simu na wengine hutumia(local ringtone)yaani ile miziki alizohifadhi kwenye simu yake kutokana ya aina ya muziki anaopendelea,wengine huweka mahubiri,wengine sauti ya wanyama,background za movie nk.

Na kuna wale wa vibration full time(hawa ndio nahisi huwa hawapokei namba ngeni(sijui kwanini[emoji848][emoji3])

Pia,wengine huweka ili kutofautisha aina ya wapigaji kwenye simu yake.

Mimi natumia wimbo wa Man down wa Rihanna sababu unaanza na beat zuri lililochanganika na king'ora cha polisi hivyo ni rahisi kusikia.

Wewe unatumia ringtone ipi? na kwanini?

Karibu.

]

Levola
Leevoolaa
Leeevooolaaa
 
Shoga yangu ana simu mbili sijawahi muona simu yake ikiita, hata vibration hajaweka, simu ikiita unaona mwanga tu.

Ana wanaume wawili ila anaishi na boyfriend 🤣 na ikifika saa 4 usiku huwezi mpata mpaka kesho yake kuanzia saa tatu.
Alinambia anaishi kwa shida maana ikitokea shida kwao hawawezi mpata usiku.

Ati boyfriend alimuuliza mbona simu zako hazinaga mlio? Akajibu sipendagi keleke nikikuta missed call napiga😜 na kwa nini unazima simu usiku? Akajibu sipendagi usimbufu wa simu za kazini usiku🤣

Kuna siku nilimuona na chakula kwenye sahani ananigongea usiku nikajiuliza vip mbona misosi usiku? Akajibu "kale kapuuzi si kamepiga nikiwa na shemeji yako ikabidi nikate simu nijifanye nimekupokea wewe " vip shoga yangu unaendeleaje? Nisamehe nakuletea chakula sasa hivi. Pole kwa kuumwa.🤣🤣 hizi simu.
😃😃😂😂😂😂
 
Shoga yangu ana simu mbili sijawahi muona simu yake ikiita, hata vibration hajaweka, simu ikiita unaona mwanga tu.

Ana wanaume wawili ila anaishi na boyfriend [emoji1787] na ikifika saa 4 usiku huwezi mpata mpaka kesho yake kuanzia saa tatu.
Alinambia anaishi kwa shida maana ikitokea shida kwao hawawezi mpata usiku.

Ati boyfriend alimuuliza mbona simu zako hazinaga mlio? Akajibu sipendagi keleke nikikuta missed call napiga[emoji12] na kwa nini unazima simu usiku? Akajibu sipendagi usimbufu wa simu za kazini usiku[emoji1787]

Kuna siku nilimuona na chakula kwenye sahani ananigongea usiku nikajiuliza vip mbona misosi usiku? Akajibu "kale kapuuzi si kamepiga nikiwa na shemeji yako ikabidi nikate simu nijifanye nimekupokea wewe " vip shoga yangu unaendeleaje? Nisamehe nakuletea chakula sasa hivi. Pole kwa kuumwa.[emoji1787][emoji1787] hizi simu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu wanayawezaa khaaaah.
 
Back
Top Bottom