Unaua msichana kisa umenyimwa penzi, daah upwiru ni hatari sana!

Unaua msichana kisa umenyimwa penzi, daah upwiru ni hatari sana!

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Nimeamka na kuona hii habari, alichokifanya huyu kijana kinasikitisha. Amekatisha uhai wa huyu binti angali mdogo na amejiharibia future yake maana ataenda gerezani maisha.

Eti wanajamvi, hii tamaa ya mbususu inaweza kukufikisha kwenye hatua hii?

IMG_2399.jpeg
 
Hatari mshangazi, hapo upwiru sio wa kuuendekeza,kichwa cha chini kinaongoza kichwa cha juu
 
Watu wengi siku hizi Wana tatizo la afya ya akili.
Tunapaswa kuwa waangalifu sana na nani wa kuhusiana naye, kivipi, Ili iweje nakadhalika. Mahusiano ya kudanganyana yatawaacha wengi na majeraha hata kifo.

Usishangae Mtu kaua kisa shilingi 300 yake anayodai.
 
FUNZO ILO MABINTI WAJIFUNZE KUPITIA STORI NYUMA YA PAZIA KABLA YA TUKIO,JAMAA HAWZI UWA BURE,
 
Wanaume upwiru ukishafika asilimia 💯 hapo akili inakuwa haifanyi kazi tena.
Hapo kuna namna binti alimwaminisha mchizi kuwa ipo siku atapata tunda.
Hasa mtu ukishakuwa umechoma visenti vyako
 
Hajauawa burebure alikula vya mwamba, mwamba kuomba mbususu dem analeta miyeyusho, hasira hasara jamaa akamkill so sad ila angempa kibanebane mwisho kiliwe na nyegere.
Anaringia wakati atazikwa nayo.
Funzo: ukinyimwa usiue, kumpa mwanamke hela au vitu siyo consent ya sex unless ni biashara na mmekubaliana malipo ya huduma.
 
Back
Top Bottom