majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 900
- 971
Ohoooo kweliWanaume upwiru ukishafika asilimia 💯 hapo akili inakuwa haifanyi kazi tena.
Hapo kuna namna binti alimwaminisha mchizi kuwa ipo siku atapata tunda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooo kweliWanaume upwiru ukishafika asilimia 💯 hapo akili inakuwa haifanyi kazi tena.
Hapo kuna namna binti alimwaminisha mchizi kuwa ipo siku atapata tunda.
Nimewaza hivyo pia.Ukute demu alikuwa anakula mshahara wa house boy wote wa kila mwez,siku uvumilivu ukimshinda au ukimletea mazarau lazima akumalize
Kwa hiyo unaunga mkono sex iuzwe kama huduma?Funzo: ukinyimwa usiue, kumpa mwanamke hela au vitu siyo consent ya sex unless ni biashara na mmekubaliana malipo ya huduma.
Siungi mkono wala sipingi. Niko neutral!Kwa hiyo unaunga mkono sex iuzwe kama huduma?
Aende tu anatoka USA NATO nn yeyeNimeamka na kuona hii habari, alichokifanya huyu kijana kinasikitisha. Amekatisha uhai wa huyu binti angali mdogo na amejiharibia future yake maana ataenda gerezani maisha.
Eti wanajamvi, hii tamaa ya mbususu inaweza kukufikisha kwenye hatua hii?
View attachment 3255558