Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Inaashiria wslikuwa kwenye mahusianoNimeamka na kuona hii habari, alichokifanya huyu kijana kinasikitisha. Amekatisha uhai wa huyu binti angali mdogo na amejiharibia future yake maana ataenda gerezani maisha.
Eti wanajamvi, hii tamaa ya mbususu inaweza kukufikisha kwenye hatua hii?
View attachment 3255558
Hatari sana, kichwa cha chini kikikuongoza unaweza kufanya maamuzi utakayojutia maisha yako yote.Hatari mshangazi, hapo upwiru sio wa kuuendekeza,kichwa cha chini kinaongoza kichwa cha juu
Hasa mtu ukishakuwa umechoma visenti vyakoWanaume upwiru ukishafika asilimia 💯 hapo akili inakuwa haifanyi kazi tena.
Hapo kuna namna binti alimwaminisha mchizi kuwa ipo siku atapata tunda.
Funzo: ukinyimwa usiue, kumpa mwanamke hela au vitu siyo consent ya sex unless ni biashara na mmekubaliana malipo ya huduma.Hajauawa burebure alikula vya mwamba, mwamba kuomba mbususu dem analeta miyeyusho, hasira hasara jamaa akamkill so sad ila angempa kibanebane mwisho kiliwe na nyegere.
Anaringia wakati atazikwa nayo.
Inawezekana kabisa