Unaujua usiku mrefu?

Usiku huu wangu leo ni mrefu sana sijalala hadi sa hv.. ngoja niende JF usiku wa manane nikaungane na popo wenzangu.
 
Nilienda msina mmoja, sikua na shuka wala nini, ile sehemu ni chini ya mlima hivi, ebwana nilipigwa na baridi sijawahi kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…