figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
ndo ulivyofundishwa na machangu wako wa kwa sokota?
ndo ulivyofundishwa na machangu wako wa kwa sokota?
??????????
It is one way, kuna zingine nyingi ila zote zimesimamia standard za "Caucasians" (wazungu). kwa waafrika, density ya mifupa iko juu kidogo. alafu mtoto alie na 40 cm, unapimaje? au mtoto wa 1,10 m, unampimaje?
Inamapungufu mengi ila iko valid kwa GENERAL consideration.
True fact..
Vilaza tu ndo wAtakuamini ni hekaya za abunusi!
NIna urefu wa sm178 kwa hiyo ilitakiwa niwe na kilo 78 kwa mujibu wa kanuni yako hii. lakini niliposimama kwenye mizani ikasoma kilo 98, hii inakuwaje mtaalamu?
.halafu leo sijapata likes za kutosha naomba unigongee baada ya zoezi.mia
habari yako mwana jf.
unataka kujua kilo zako?
fanya hivi;
pima ulefu wako kwa sentimeta halafu utoe 100.jibu utakalo pata ndo kilo zako.kama zitapungua kula ziongezeke ,kama zinazidi zipunguze.
mia
Cjaona ukweli ndani yake maana dogo ana 50cm je nikitoa 100 atakuwa na weight -50?
Lo, umenichekesha, nami nimekupa kamoja bana.