Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
jamii forum bana!!!, wakati mwingine bora kusoma ya wengine, kila mtu akiandika hapa, walau kila mara atatokea mtu kuweka ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana mwanangu simuoni... Sasa nimepata jibu. Ana urefu wa cm 49, hivyo atakuwa kazama chini ya ardhi kwa cm 51 maana 49-100= -51habari yako mwana jf.
unataka kujua kilo zako?
fanya hivi;
pima ulefu wako kwa sentimeta halafu utoe 100.jibu utakalo pata ndo kilo zako.kama zitapungua kula ziongezeke ,kama zinazidi zipunguze.
mfano;urefu wako kutoka kichwani hadi kwenye visigino ni cm 160.ikitoa mia inabakia 60.hiyo 60 ndo kilo zako zinazotakiwa mwilini.fanya hilo zoezi.
keep it 100.halafu leo sijapata likes za kutosha naomba unigongee baada ya zoezi.mia
Halitakuwa gumu, ni rahisi tu. Huyo mtu mwenye urefu chini ya mia hataonekana kwa vile atakuwa amezama chini ya ardhiit works,ila kwa wafupi below 100 cm zoez litakuwa gumu
Wewe Abunuasi hizio NDOTO zako peleka kwenye Jokes.
jamii forum bana!!!, wakati mwingine bora kusoma ya wengine, kila mtu akiandika hapa, walau kila mara atatokea mtu kuweka ukweli
me nna urefu wa cm 165 ila kilo nna 45, unanisaidiaje?
mbona na pima majibu yanakuja tofauti na ya mizani?
It doesnt work for any height below 145cm!! Jaribu kutafuta njia ambayo ni applicable kwa kila mtu. Ila pia hii njia haikupi uzito ulio nao ila inakupa suggestion ya uzito unaostahili kuwa nao! Nadhani ingekuwa vizuri kama ungetofautisha haya mambo mawili.
Mfano: mimi nina 178cm, inamaanisha nastahili kuwa na 78kg, ila bila mizani sitoweza kujua exactly nina kg ngapi!!
sikupi like. mia
JF ni chiboko!!
Mie mwenyewe niliisha kurupuka kukamata rula lakini baada ya kupitie comments zilizofuata....nimetupilia mbali na hiyo rula coz kuna jamaa hapa hamuoni mtoto wake coz ana kilo 49 kumbe amezama chini kwa kilo 51.
Ndiyo maana mwanangu simuoni... Sasa nimepata jibu. Ana urefu wa cm 49, hivyo atakuwa kazama chini ya ardhi kwa cm 51 maana 49-100= -51
hiyo formula siyo valid maana inabagua umri mkuu