Unaumwa uko hoi kitandani, mke anaenda Dubai kurefresh, anayekupenda kweli ni baba na mama tu

Jamaa wa kataa ndoa wakiwaeleza huwa hamuelewi, ukiwa na Miaka between 40 and 46 kama mke wako humuelewi, Anza kujijenga mwenyewe, ukiwa mdhaifu hapa ikafika miaka 50 ujue mke atakutawala na hutakuwa na pa kwenda!
 
Just assume, watu wanapigana ipatikane fedha ya kukutibu, mke wako anaonekana dubai, eti matatizo yapo tu, sa kama kapata muda wa kwenda dubai, huyu mgonjwa anachungwa na nani?

MWENYEZI MUNGU atuchagulie wake, kwa staili hii, inakatisha tamaa sana
Ina maana mke wa likubwa lililofeli yuko Dubai sasa hivi? Atakuwa ameenda huko na mwijaku nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…