Unaumwa uko hoi kitandani, mke anaenda Dubai kurefresh, anayekupenda kweli ni baba na mama tu

Ni kawaida mkuu wng..niliwahi kuishi na mwanamke kpnd sjajipata alikuwa ajira anapata hela kuliko mimi, kuna kpnd kwangu zkakata kbs nakumbuka kuna sku alitoka kazn kwake kabeba kitimoto akafka akapka ugari akaanza kula na ktimoto, akanambia hakuna kula akawa anakula uku maneno ya kebehi na kashfa yanamtoka akiwa anacheka ilinishangaza sn bnafs ni roho ambayo mi sina hata kama tumekosana mradi tuko pamoja chakula changu utakula tu sina tatzo. Hao ndo wanawake mkuu
 
Hakuna mke wa Ndoa. Mlichokana Upendo uliisha? Wewe hukuwahi kumsimanga na chakula chako? Pole ya zamani
 
Jamaa wa kataa ndoa wakiwaeleza huwa hamuelewi, ukiwa na Miaka between 40 and 46 kama mke wako humuelewi, Anza kujijenga mwenyewe, ukiwa mdhaifu hapa ikafika miaka 50 ujue mke atakutawala na hutakuwa na pa kwenda!
Sahihi mkuu,, Kuna MZEE alikua na migogoro na wife TANGU miakaa hiyo, baada ya kuzeeka JUZI hapa Mali zote mnada wakagawanishwa sa ka mzzee hakujipqnga inakula kwake
 
Jamaa wa kataa ndoa wakiwaeleza huwa hamuelewi, ukiwa na Miaka between 40 and 46 kama mke wako humuelewi, Anza kujijenga mwenyewe, ukiwa mdhaifu hapa ikafika miaka 50 ujue mke atakutawala na hutakuwa na pa kwenda!
46 inaweza kuwa too late,anza mapema
 
Back
Top Bottom