Unaumwa uko hoi kitandani, mke anaenda Dubai kurefresh, anayekupenda kweli ni baba na mama tu

Unaumwa uko hoi kitandani, mke anaenda Dubai kurefresh, anayekupenda kweli ni baba na mama tu

Inasiktisha Sana ,Mambo ya Kuishi kwa Shida na Raha ni Uongo mtupu....Ndoa ni kwenye Raha tu ikitokea Shida ndoa nyingi zinavunyika.
Kuna NDUGU YANGU MPAKA WA Leo kadata, Yani ni kama taira hivi unajua chanzo mkuu? Mkewe, anasema pekee yake nampenda MKE WANGU mrudisheni na mtoto WANGU, wajuzi WA mambo HAPO tushaelewa MTU kapigwa juju tayari kwishaaaaaaaaaa
 
Bro BADO UPO NAE mkuu?
Ni kawaida mkuu wng..niliwahi kuishi na mwanamke kpnd sjajipata alikuwa ajira anapata hela kuliko mimi, kuna kpnd kwangu zkakata kbs nakumbuka kuna sku alitoka kazn kwake kabeba kitimoto akafka akapka ugari akaanza kula na ktimoto, akanambia hakuna kula akawa anakula uku maneno ya kebehi na kashfa yanamtoka akiwa anacheka ilinishangaza sn bnafs ni roho ambayo mi sina hata kama tumekosana mradi tuko pamoja chakula changu utakula tu sina tatzo. Hao ndo wanawake mkuu
 
Just assume, watu wanapigana ipatikane fedha ya kukutibu, mke wako anaonekana dubai, eti matatizo yapo tu, sa kama kapata muda wa kwenda dubai, huyu mgonjwa anachungwa na nani?

MWENYEZI MUNGU atuchagulie wake, kwa staili hii, inakatisha tamaa sana
Sijaelewa unajaribu kutueleza nini. Ni nani huyo alomuacha mumewe mgonjwa akaenda dubai? Nini hasa point ya post yako hapa? Im just confused!
 
Kwamba Dubai kwao aende wakati mme mgonjwa aimake sensi labda hujui maana ndoa
Mambo mengine bhana, Yani MTU analazimisha kutetea ujinga TU KUTOKA bongo kwenda dubai ni km ngapi? Huyu mgonjwa akizidiwa anaangaliwa na nani?
 
Sijaelewa unajaribu kutueleza nini. Ni nani huyo alomuacha mumewe mgonjwa akaenda dubai? Nini hasa point ya post yako hapa? Im just confused!
Mkuu mbona Uzi unajionyesha BILA chenga, mume kazidiwa tulii, mara paaaa MKE yuko mbele anapost TU, we HUJAELEWA KIPI, ingali mgonjwa qnadunduliza Hela ya matibabu
 
Just assume, watu wanapigana ipatikane fedha ya kukutibu, mke wako anaonekana dubai, eti matatizo yapo tu, sa kama kapata muda wa kwenda dubai, huyu mgonjwa anachungwa na nani?

MWENYEZI MUNGU atuchagulie wake, kwa staili hii, inakatisha tamaa sana
HAKUNA Mwanamke anayeweza kukupenda duniani kama Mama yako Mzazi.
 
Ni kawaida mkuu wng..niliwahi kuishi na mwanamke kpnd sjajipata alikuwa ajira anapata hela kuliko mimi, kuna kpnd kwangu zkakata kbs nakumbuka kuna sku alitoka kazn kwake kabeba kitimoto akafka akapka ugari akaanza kula na ktimoto, akanambia hakuna kula akawa anakula uku maneno ya kebehi na kashfa yanamtoka akiwa anacheka ilinishangaza sn bnafs ni roho ambayo mi sina hata kama tumekosana mradi tuko pamoja chakula changu utakula tu sina tatzo. Hao ndo wanawake mkuu
Dawa ya mwanamke ni pesa 😂😂😂😂
 
Kwenye suala la mwanamke OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA na wife material ,mbona wanajulikana ,ila ukioa mwanamke ambaye ni pasua kichwa wa mitoko shoppings tu na matumizi ambaye mnawaita pisi kali...KAMA UNA AKILI TIMAMU na unatumia akili badala ya hisia ni rahisi sana kujua huyu ni wife material huyu ananipenda kweli huyu hanipendi ila anapenda tu material things mafanikio yangu..mbona dalili huwa zinaonekana mapema tu mkiwa kwenye mahusiano unajua tu..ila sasa mara nyingi wife material wanakuwaga wa kawaida na mara nyingi sio wale tunaovutiwa nai sana kwa muonekano wao(HAPA NDIO MANA WAHENGA wakasema uzuri wa mtu sio UREMBO ni TABIA utu wake Kindness yake)

SISI WENYEWE wanaume ndio huwa TUNAKOSEA KUCHAGUA tunawakataaga hawa wife material tunakimbilia wale ambao wanatunyosha ...kwa kufuata hisia zetu badala ya kutumia AKILI.
 
mwanamke wa namna hiyo ukifuatilia hajaanza leo tabia za u heartless ila utakuta mwanaume anavumilia tu kukaa na mwanamke heartless kiasi hicho eti kwa sababu ya hisia za moyo mapenzi...ukifuata moyo bila kutumia akili ..utaishia kama SAMSONI NA DELILA.
 
Back
Top Bottom