BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
- Thread starter
-
- #41
Kaka kwa hali yoyote Ile MKE hana SABABU ya kusafiri kwenda mbali HIVO BILA HATA haja ya MAANA ili hali mumewe SIO WA Leo WALA WA keshoInasikitisha sana aiseee...
pole sana Chief .
Mkuu unajua MAANA ya MKE na mume?Pengine walikuwa sio mume na mke kabla ya ugonjwa, ko arudi kisa kaumwa mawifi waseme kaja kummalizia,,
Hatujui maisha yao kabla ya kuumwa
NafahamuMkuu unajua MAANA ya MKE na mume?
Mkuu acha tu unaeza jipanga ukapigwa come back ya kibabe ACHA tu46 inaweza kuwa too late,anza mapema
Kuna NDUGU YANGU MPAKA WA Leo kadata, Yani ni kama taira hivi unajua chanzo mkuu? Mkewe, anasema pekee yake nampenda MKE WANGU mrudisheni na mtoto WANGU, wajuzi WA mambo HAPO tushaelewa MTU kapigwa juju tayari kwishaaaaaaaaaaInasiktisha Sana ,Mambo ya Kuishi kwa Shida na Raha ni Uongo mtupu....Ndoa ni kwenye Raha tu ikitokea Shida ndoa nyingi zinavunyika.
Ni kawaida mkuu wng..niliwahi kuishi na mwanamke kpnd sjajipata alikuwa ajira anapata hela kuliko mimi, kuna kpnd kwangu zkakata kbs nakumbuka kuna sku alitoka kazn kwake kabeba kitimoto akafka akapka ugari akaanza kula na ktimoto, akanambia hakuna kula akawa anakula uku maneno ya kebehi na kashfa yanamtoka akiwa anacheka ilinishangaza sn bnafs ni roho ambayo mi sina hata kama tumekosana mradi tuko pamoja chakula changu utakula tu sina tatzo. Hao ndo wanawake mkuu
MZIGO WA biashara Hela unatoa wapi ili hali mgonjwa anahangaikiwa apate Hela?Labda kafuata mzigo wa biashara huwezi kujua,
Sijaelewa unajaribu kutueleza nini. Ni nani huyo alomuacha mumewe mgonjwa akaenda dubai? Nini hasa point ya post yako hapa? Im just confused!Just assume, watu wanapigana ipatikane fedha ya kukutibu, mke wako anaonekana dubai, eti matatizo yapo tu, sa kama kapata muda wa kwenda dubai, huyu mgonjwa anachungwa na nani?
MWENYEZI MUNGU atuchagulie wake, kwa staili hii, inakatisha tamaa sana
Kwamba Dubai kwao aende wakati mme mgonjwa aimake sensi labda hujui maana ndoaWhat if Dubai ni kwao uyo mke
Mambo mengine bhana, Yani MTU analazimisha kutetea ujinga TU KUTOKA bongo kwenda dubai ni km ngapi? Huyu mgonjwa akizidiwa anaangaliwa na nani?Kwamba Dubai kwao aende wakati mme mgonjwa aimake sensi labda hujui maana ndoa
Mkuu mbona Uzi unajionyesha BILA chenga, mume kazidiwa tulii, mara paaaa MKE yuko mbele anapost TU, we HUJAELEWA KIPI, ingali mgonjwa qnadunduliza Hela ya matibabuSijaelewa unajaribu kutueleza nini. Ni nani huyo alomuacha mumewe mgonjwa akaenda dubai? Nini hasa point ya post yako hapa? Im just confused!
HAKUNA Mwanamke anayeweza kukupenda duniani kama Mama yako Mzazi.Just assume, watu wanapigana ipatikane fedha ya kukutibu, mke wako anaonekana dubai, eti matatizo yapo tu, sa kama kapata muda wa kwenda dubai, huyu mgonjwa anachungwa na nani?
MWENYEZI MUNGU atuchagulie wake, kwa staili hii, inakatisha tamaa sana
Dawa ya mwanamke ni pesa ππππNi kawaida mkuu wng..niliwahi kuishi na mwanamke kpnd sjajipata alikuwa ajira anapata hela kuliko mimi, kuna kpnd kwangu zkakata kbs nakumbuka kuna sku alitoka kazn kwake kabeba kitimoto akafka akapka ugari akaanza kula na ktimoto, akanambia hakuna kula akawa anakula uku maneno ya kebehi na kashfa yanamtoka akiwa anacheka ilinishangaza sn bnafs ni roho ambayo mi sina hata kama tumekosana mradi tuko pamoja chakula changu utakula tu sina tatzo. Hao ndo wanawake mkuu
Aiseeee noma sana.Kuna NDUGU YANGU MPAKA WA Leo kadata, Yani ni kama taira hivi unajua chanzo mkuu? Mkewe, anasema pekee yake nampenda MKE WANGU mrudisheni na mtoto WANGU, wajuzi WA mambo HAPO tushaelewa MTU kapigwa juju tayari kwishaaaaaaaaaa
Likubwa liliwah kusema linalipwa USD 46000 kwa mwezi,Leo haliwez pata panadolIna maana mke wa likubwa lililofeli yuko Dubai sasa hivi? Atakuwa ameenda huko na mwijaku nini?
Huwa wanajikweza ujinga! Ulipwe usd 46,000 halafu uanze kulialia hivyo?Likubwa liliwah kusema linalipwa USD 46000 kwa mwezi,Leo haliwez pata panadol