BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
- Thread starter
-
- #61
KAKA SAMAHANI NIPE WALAU SIFA TANO🤚ZA WIFE MATERIAL MKUUKwenye suala la mwanamke OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA na wife material ,mbona wanajulikana ,ila ukioa mwanamke ambaye ni pasua kichwa wa mitoko shoppings tu na matumizi ambaye mnawaita pisi kali...KAMA UNA AKILI TIMAMU na unatumia akili badala ya hisia ni rahisi sana kujua huyu ni wife material huyu ananipenda kweli huyu hanipendi ila anapenda tu material things mafanikio yangu..mbona dalili huwa zinaonekana mapema tu mkiwa kwenye mahusiano unajua tu..ila sasa mara nyingi wife material wanakuwaga wa kawaida na mara nyingi sio wale tunaovutiwa nai sana kwa muonekano wao(HAPA NDIO MANA WAHENGA wakasema uzuri wa mtu sio UREMBO ni TABIA utu wake Kindness yake)
SISI WENYEWE wanaume ndio huwa TUNAKOSEA KUCHAGUA tunawakataaga hawa wife material tunakimbilia wale ambao wanatunyosha ...kwa kufuata hisia zetu badala ya kutumia AKILI.
KAKA HUWA WANABADILIKAGA, ULIFATILIA ILE STORI YA MWALIMU WA MOROGORO ALIE ULIWA NA MKEWE ILI WALE MAISHA NA BODABODAmwanamke wa namna hiyo ukifuatilia hajaanza leo tabia za u heartless ila utakuta mwanaume anavumilia tu kukaa na mwanamke heartless kiasi hicho eti kwa sababu ya hisia za moyo mapenzi...ukifuata moyo bila kutumia akili ..utaishia kama SAMSONI NA DELILA.
Hazipo tano ni moja tu ANAYEKUPENDA kwa dhati..ndiyo wifi material..KAKA SAMAHANI NIPE WALAU SIFA TANO🤚ZA WIFE MATERIAL MKUU
USHA WAHI KUTANA NA GOLD DIGGERS? WANA MBINU ZOTE ULIZO SEMA HAPO KUMBE MATAPELI, MUOMBE TU MUNGU KUNA JIKE SHUPA KATULIA KWENYE NDOA WAHUNI TUNAEMJUA HEKAHEKA ZAKE KIPINDI KILE HUWA TUNAISHIA KUSHANGAA ALIVO TULIA ALAFU KUNA KIDEMU KILIKUA KIPOLE BALAA KILIVO ANZA KULOMBWA TU KWISHAAAA NIKO CLUB NAPITA HIVI MARA HAKA HAPA SI KUAMINI MKUU MUOMBEE MUNGU TUHazipo tano ni moja tu ANAYEKUPENDA kwa dhati..ndiyo wifi material..
sasa maana ya upendo wa kweli wa dhati..imefafanuliwa katika biblia.
mwanamke anayekupenda atakujali,atakuhurumia,.upendo ahu hukumu,hautafuti mambo yake wenyewe,haukosinkuwa na adabu,na kiasi,haujivuni,..UPENDO UPENDO una kila kitu..upendo unafanya kila kitu..huwezi kuwa unampenda mtu halafu usimjali.
upendo HUVUMILIA..
ukiwa unapendwa utajua tu haina haja ya kuambiwa ila wewe utajua unapendwa bila hata kuambiwa
1 Kor 13:4-8Hazipo tano ni moja tu ANAYEKUPENDA kwa dhati..ndiyo wifi material..
sasa maana ya upendo wa kweli wa dhati..imefafanuliwa katika biblia.
mwanamke anayekupenda atakujali,atakuhurumia,.upendo ahu hukumu,hautafuti mambo yake wenyewe,haukosinkuwa na adabu,na kiasi,haujivuni,..UPENDO UPENDO una kila kitu..upendo unafanya kila kitu..huwezi kuwa unampenda mtu halafu usimjali.
upendo HUVUMILIA..
ukiwa unapendwa utajua tu haina haja ya kuambiwa ila wewe utajua unapendwa bila hata kuambiwa
MA GOLD DIGGER WANAMBINU SANA SIKU HIZI MKUU1 Kor 13:4-8
Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote;
FORMULA NI MOJA TU
OA MWANAMKE ANAYEKUPENDA YEYE MWENYEWE KWA MOYO WAKE
USIOE mwanamke ambaye hakupendi unamlazimishwa kwa kumvutia na kumuhonga honga ili akupende yani kama una mfosi aww na wewe wakati yeye moyoni mwake haupo..mapenzi ya kuunganisha na gundi..mkikosana kidogo anakwambia au kama vipi bora tuachane tu kama hutaki wapo wengi wanaonitaka kama unaniona wanini wenzako wanasema watanipata lini..
au anakwambia yani kwanza sijui ilikuwaje hata nikawa na wewe yani nilikosea sana sijui nilipatwa na kichaa gani mpaka nikazaa na wewe.
au mimi sipangiwagi...hakuheshimu anakudharau..
ila unakomaa tu..unajichekesha...eti kwa sababu ni pisi kali..sasa hiyo pisi kali inakusaidia nini kukumbatia moto..bora utumie akili kidogo mwisho wa siku ndiyo haya kuaibika.fainali kwenye matatizo na uzeeni.
Au kafata dawaLabda kafuata mzigo wa biashara huwezi kujua,
Mara nyingi WANAWAKE WA staili hiyo huanza kuwajengea sumu watoto kuwa baba ni MTU mbaya Yani baba ni miongoni mwa maadui WA familia yao, mara ana NYUMBA dogo nje, mara hawajali mara hivi MPAKA wanakua watoto hawana mapenzi na babaSISI WANAUME HUWA TUNAWAKATAA WANAWAKE SAHIHI WA MAISHA YETU tena kwa jeuri kali na kuwanyanyapaa wale wanaotupenda kweli na kuwakimbilia hawa pasua kichwa kwa kufuata UREMBO..
Mungu ameumba kila mtu na mtu wa kuendana naye mwenaza wqke ,lakini mara nyingine tunakosa macho ya rohoni ya kuangalia kuchagua kwa kuangalia UZURI WA NDANI tunavutiwa na uzuri wa nje.
KINDNESS ndio kitu kinachomfanya mtu awe mzuri kindness is the thing that make you beautiful..
HIVI unajua hata SHETANI ukimuona huyu lucifer kwa sura ya nje ni mzuri sana sio kama kwenye picha anavyochorwa ,au hata wachawi wengine wana sura nzuri..
ni vizuri kuwa na ELIMU YA KIROHO kuanza kuviangalia vitu kutoka ndani
ILI BASI KWA FAIDA HATA YA WATOTO wako utakozaa WATAFUTIE MAMA BORA hata wewe usipokuwepo ukifa wabaki na mama bora usiwe selfishness.
mama kama huyo hashindwi hata watoto kuwatelekeza akaenda kwenye starehe na anasa,watoto wakakosa malezi bora kwa ustawi wao kiroho na kimwili.
NDOA NI SUALA PANA kuchagua mwenza kunahitaji akili iliyopevuka sio macho ya tamaa ya NGONO TU
na sifa za kuonyesha pisis kali ..
UKIWA NA MACHO YA ROHONI UTAJUA TU..mtu anaye fake na original utajua tu...USHA WAHI KUTANA NA GOLD DIGGERS? WANA MBINU ZOTE ULIZO SEMA HAPO KUMBE MATAPELI, MUOMBE TU MUNGU KUNA JIKE SHUPA KATULIA KWENYE NDOA WAHUNI TUNAEMJUA HEKAHEKA ZAKE KIPINDI KILE HUWA TUNAISHIA KUSHANGAA ALIVO TULIA ALAFU KUNA KIDEMU KILIKUA KIPOLE BALAA KILIVO ANZA KULOMBWA TU KWISHAAAA NIKO CLUB NAPITA HIVI MARA HAKA HAPA SI KUAMINI MKUU MUOMBEE MUNGU TU
HASWA MKUU NGUMU SANA, KWA NILIO yaona acha tu MUNGU atusimamieUKIWA NA MACHO YA ROHONI UTAJUA TU..mtu anaye fake na original utajua tu...
labada pengine mimi nina macho ya rohoni ya kumsoma mtu na kumjua pengine labda ni kipaji nipo gifted
kwa sababu mimi nikumuangalia mtu hivi nikiongea naye stori mbili tatu nakuwa nimeshamsoma kuwa huyu ni mtu mwema ni mtu mbaya ..hata mtu mchawi nikikutana naye najua tu huyu siyo mtu mzuri au mtu mkatili mtu mkorofi..mtu mshari..mgomvi...mtu mwema mwenye roho nzuri mkarimu naweza kumjua ..nafikiri wengi wana kipaji cha kumsoma mtu na kumjua huyu mtu naongea naye ama NI MTU WA AINA GANI..na kama ana igiza pia unajua
LAKINI KUOMBA MUNGU AKUONYESHE NI VUZURI mana kibinadamu wakati mwingine ni ngumu kujua ..