Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Ndiyooo 100% hata akipata tatizo la kiafya linalohitaji figo mimi tatoa ya kwangu pasipo malipo.
 
HAPANA.Kama uanachama sawa ila sio agombee urais.BIG NO.
 
Ndioooo, ila si kwa ajili ya kugombea urais. Kama kwa ajili ya kugombea urais ni wa kuogopa kama ukoma.
 
Kama kweli lowasa ni mwanaharakati bs aje apige debe ccm iondoke tutampa heshima.chadema ilishajengwa hivyo aheshimu aliowakuta.
 
Hapana. Inatia kinyaa hata kufikiria hiyo possibility.

Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu Ndio/Hapana/Sijui

Kura hii inawahusu pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu.
 
Kama ndio njia pekee iliyobaki ili kuitoa ccm madarakani i would rather say YES.
 
umetumwa na nape kuja kupima moto wa ukawa hapa? kwa taarifa yako lowasa ni kimbilio letu kama huamini subiria majibu october 2015 wacha kiherehere moto unawaka tulia subiria mkaa utakaotoka uone ni mkali kiasi gani
 
Salary Slip are you serious?AU limekutoka tu?

Yaani ni HAPANA na kujiandikisha basi tena
 
Back
Top Bottom