Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Atajijua si maamuzi yake mtu mwenyewe bubu tumechoka kufuata nyuma km mkia
 
SIKU akija CDM huyu fisadi LOWASA mambo ya siasa kwangu yatakuwa yamefika mwisho,chaguo langu ni Daktari Slaa
 
Hata kama ili kuiondoa ccm inabidi kumkodi Lucifer mie nasema ndio kwani hatuwaondoi watu Bali mfumo mbovu.
Uongozi wa Ukawa unaweza kuingia msdarakani na yeyote yule lakini kwa mfumo wao atadhibitiwa tuu.
MUHIMU KWA SASA NI CCM KUONDOKA TUU
 
Back
Top Bottom