Hapana.
ushirikiano na El team kwa ajili ya kuiondoa ccm ni sawa lakini ni lazima kubaki kwenye misingi. Ni mapema kwa EL kuhamia na kuwa mgombea, haingii akilini labda kwa miaka ike ya nyuma ambapo upinzani ulitegemea wagombea waliodhulumiwa na ccm. Upinzani wa strike deal na Team ya El kwa ajili ya kuiondoa ccm kwa kimshirikisha kwenye serikali lakini siyo kuwa mgombra Urais.
Ninasema hii itakuwa ni sawa na kujinyonga huku ukiwa unaona ukabakia kujaza kifusi kwenye suruali! Kura nyingi zitapotea! Dr.Slaa is still a very valid candidate!