Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
HAPANA, HAPANA HAPANA Kama kura yangu imeharibika kwa hapana tatu potelea mbali daadek
 
Siungi mkono!! Na ikiwa watamsimamisha wananchi wenye imani na u k w watakuwa na? ??????mengi sana ya kujiuliza juu ya baadhi ya misimamo na ahadi zao ambazo mpaka sasa zina wafanya watanzania tumaini lao liwe u k w.
 
Hapana.

ushirikiano na El team kwa ajili ya kuiondoa ccm ni sawa lakini ni lazima kubaki kwenye misingi. Ni mapema kwa EL kuhamia na kuwa mgombea, haingii akilini labda kwa miaka ike ya nyuma ambapo upinzani ulitegemea wagombea waliodhulumiwa na ccm. Upinzani wa strike deal na Team ya El kwa ajili ya kuiondoa ccm kwa kimshirikisha kwenye serikali lakini siyo kuwa mgombra Urais.

Ninasema hii itakuwa ni sawa na kujinyonga huku ukiwa unaona ukabakia kujaza kifusi kwenye suruali! Kura nyingi zitapotea! Dr.Slaa is still a very valid candidate!
 
Baada ya kutafakari kwa kina sana, na baada ya kuzingatia maoni ya wadau mbalimbali na kushawishika japo si kwa 100% nadhani tumpe huyu Mh. nafasi. Pia apewe na masharti kwamba wale marafiki zake ambao inasemekana si "wasafi" aachane nao. Maoni yangu yamezingatia hii falsafa; "Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu au adui wa kudumu ila kuna malengo ya kudumu"! Kwenye kura hapo juu nilipiga kura ya HAPANA, kungekua na namna ya kubadilisha, ningebadilisha. #pasco .
 
Kwenye msafara wa mamba na kenge huwa mamba wachanga, katika mazingira hayahaya mamba wachanga huwemo kwenye msafara wa kenge na madhara yake huonekana mbele ya safari
 
Bado naomba km kunauwezekano tupate group la watu timu lowasa kutujibu tuhuma za huyu mzee nazani tunaitaji hilo
 
Back
Top Bottom