Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Ndiyoooo.

Tuifute kwanza CCM kwenye masukio ya watanzania na kuunda taifa huru lenye kujali uhuru wa watu na ustawi wao kiuchumi.
Wanyonge nao wapumue.

Baada ya miaka mitano ndipo tutakapoangalia nani wa kwenda CCM na nani wa kubaki CDM

Lowasa kama Jiumong vile kwenye tamthilia za Korea .
Magufuli ni kama Tae so
 
At this juncture,chochote kitakachosaidia kuleta mabadiliko(kuiondoa CCM madarakani), nitakiunga mkono mengine yote mbele kwa mbele.

Hata kama kikiwa kinakukomoa na kukudhuru mwenyewe.

Nimepita kuwasabahi tu.......
 
Gamba msichamgie huu Uzi mnatuvurugia utaratibu...Uzi hauwahusu.
 
Ndiyooooo,right decision,right time to the right person...EL time is nw

Ndiyoooooooo watz wanamkubali kwa asilimia 80 saut ya watu saut ya mungu. asiyekosa kwa kutoa au kupokea rushwa hta km n ndogo na awe was kwanza kumtupia jiwe. nobody is perfect 100%, I need to see changes kwa kukiwek chama kingine, just for 5 years.
 
26 kwa 26 yaani 50 kwa 50 au naweza kusema shilingi bado imesimama.

huu mgawanyiko ndio tunaoutaka.
 
Aje tu kama anataka, tutampokea - ila kwa URAIS atatusamehe kwa kweli - bado tuna imani kubwa sana na DR.
 
Hata kama ili kuiondoa ccm inabidi kumkodi Lucifer mie nasema ndio kwani hatuwaondoi watu Bali mfumo mbovu.
Uongozi wa Ukawa unaweza kuingia msdarakani na yeyote yule lakini kwa mfumo wao atadhibitiwa tuu.
MUHIMU KWA SASA NI CCM KUONDOKA TUU
Nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom