Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
100% Yes ... Lowassa na timu yake wanamtandao wa kuweza kuwanyamazisha vyombo vya usalama visichakachue kwa maslahi ya CCM ...
 
Hapana, el akija ukawa hata akiwa mwanachama wa kawaida atapunguza makali ya baadhi ya viongozi wa ukawa kukemea na kuchambua baadhi ya wahusika ktk masakata ya rushwa vinginevyo aje kwa makubaliano ya kutoa ushirikiano ktk kuisaidia cdm kufichua maovu ya serikali na ccm vinginevyo abaki na maccm yake
 
Nafikiri iwepo poll ya kuunga mkono Lowassa kuhamia chadema tu, bila kuwa Rais

mgawanyiko haupo kwenye kuhamia CHADEMA kwasababu hio ni haki yake,

Kitimtim kipo kwenye ugombea urais kupitia Chadema alafu baadae Ukawa.
 
je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya chadema/ukawa endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu ndio/hapana/sijui

kura hii inawahusu pro-ukawa wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.

hapana hapana hapana
 
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu Ndio/Hapana/Sijui

Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.

ndiooo
 
ndiyo, mradi itachangia kwenye nguvu za kuwaondoa mafisadi CCM.
 
Back
Top Bottom