Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu Ndio/Hapana/Sijui

Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.

umeiweka sawa, lakini naona watu hawajachangamkia!Mie cjatajwa hapo pro Makongoro!
 
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu Ndio/Hapana/Sijui

Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.

yap.yap.
nafananisha kauli ya nape ya kusema wamezuia mafuriko kwa mkono hii ni sawa na wale watalii walipoona kile kimbunga cha katrina wakiwa wanakula maisha beach walianza kukipiga picha.sasa asubiri kimbunga cha katrina kinakuja.
 
Hapana, swali ninalojiuliza je angekuwa LOWASA ndiye mgombea wa ccm je tungekuwa tunamwita rais mtarajiwa? au FISADI nini kimetubadilisha ghafla upendo wa CDM na Lowasa umetoka wapi..........
 
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu Ndio/Hapana/Sijui.


Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.
Hakuna ubaya wowote mradi tu asihamie CDM kienyeji.

Kufanyike SWOT analysis ya kutosha, ioneshe pros na cons ya mambo muhimu; mfano:-
  • Kukubalika kwake (Lowassa) kwa viongozi wakuu wa chama wote au sehem kubwa ya viongoz hao.
  • Kukubalika kwake kwa wengi wa/sehemu kubwa ya wanachama.
  • namna bora ya kuwa-handle wafuasi wa lowassa watakaohama naye na ambao wana nia ya kugombea ubunge au udiwani Vs wanachama wa CDM/UKAWA ambao nao wana nia ya kugombea ubunge/udiwani katika maeneo hayo hayo. Lazima kuwepo na pre consensus kabla ya kuhama isije ikaleta manung'uniko baadaye ambayo yatasumbua umoja wetu kama chama, kama ukawa na kama Taifa.
  • Kwa nia njema tu, Lowassa na wafuasi wake, au Lowassa kwa niaba ya wafuasi wake, shurti wafanye clearance ya tuhuma zinazowakabili kwa kudeclare mambo flani flani yanayohusiana na ufisadi wa mfumo wa ccm na jinsi ambavyo mtu akiwa ndani ya ccm analazimika kuwa sehemu ya ufisadi huo.
  • Mwisho tena, Lowassa and team, watangaze rasmi kuachana kabisa na uchafu wa mfumo wa ccm na kujiunga rasmi kwenye mfumo safi wa CDM na UKAWA wenye nia ya kuleta ukombozi wa pili wa Mwafrika wa Tanzania na kurudisha heshima ya Taifa mahali pale panapotustahili.

Hata hivyo, mwisho wa yote, ieleweke kuwa, Lowassa and Team kuhamia Ukawa liwe ni suala la lazima, suala la kufa na kupona lakini isiwe hivyo kwa suala la Lowassa Kugombea urais bali, suala la Lowassa kugombea urais, liwe ni sehemu ya Mkakati wa pamoja kati ya Lowassa and TEAM, UKAWA na CDM. Lowassa asilazimishe CDM/UKAWA kuwa lazima agombee na halikadhalika CDM/UKAWA usimlazimshe Lowassa kuwa si lazima agombee. Uamuzi wa Kugombea au kutokugombea kwa Lowassa iwe ni matokeo ya majadiliano ya pamoja, "NA YA UMAKINI SANA", kuona kwamba ni kwa jinsi gani nguvu ya pande hizi tatu zitaunganishwa kwa lengo moja tu la kumtoa chatu (ccm) pangoni.

NB: CCM ina mtindo mbovu wa kutumia mifumo dola dhidi ya upinzani hivyo cdm/ukawa kuweni macho sana, na kemeeni matumizi unprofessional, unethical na illigal ya polisi, tume ya Taifa ya uchaguzi na hata baadhi ya UWT dhidi ya taratibu halali za uchaguzi. Hivi ndo vyombo ambavyo vinatarajiwa kutumiwa katika ufungaji wa lileeeee goli la mkono.

wanamageuzi tukiweza kujiandikisha vya kutosha, tukajitokeza kupiga kura kwa wingi, tukalinda kura, tukahesabu kura na kusimamia matokeo halali yatangazwe basi ushindi mwaka huu ni lazima.

Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki CDM/UKAWA.
 
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?Jibu Ndio/Hapana/SijuiKura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.
Hapana. Yeye awe mwanachama Wa kawaida. Dr. Ndiye Rais wetu.
 
Hapana Kabisa. Asingekatwa? Kwanini hakuondoka mapema mpaka akatwe. Awe mwanachama tu. Chadema msicheze na akili za Watu. Binafsi sitaki kusikia kitu kama hicho. Yeye shame lakini Rais wetu tunaye naye ni Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom