Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Hapana Kabisa. Asingekatwa? Kwanini hakuondoka mapema mpaka akatwe. Awe mwanachama tu. Chadema msicheze na akili za Watu. Binafsi sitaki kusikia kitu kama hicho. Yeye shame lakini Rais wetu tunaye naye ni Dr. Slaa.

Point...,
 
Mi nasema ndioooooooooooooo!!!!!!!
Mkajimalize na huyo Lowassa wenu.
Atakuwa mpinzani maisha yake yote yaliobaki na ikulu ataisikia tu.
 
Ukawa tusiingie mtego Wa kitoto kiasi hiki. Lowasa anaaminika kiasi gani? Si ndiye wafuasi wake walimpiga mubunge Wa Arumeru nusu afe? Mkimuweka mgombea upinzani utakuwa umezikwa rasmi. Watu wamefia Chadema na kuozea magerezani na kufirisiwa. Acheni kabisa hii mambo. Awe mwanachama tu.
 
Nasema toka moyoni Kabisa tena kwa uchungu Chadema acheni hii mambo. Kama mnapima upepo nawaomba Kabisa. Mtatuambia nini sisi Watu Wa mMwanza tulioacha shughuli zetu na kuimba Rais Rais mji mzima. Halafu mlete mambo ya ajabu. Acheni kama mnasikia. Huu Uzi umeniharibia siku Kabisa.
 
Unajua maana ya kura ya maoni?!
 
good luck cdm ila kuweni waangalifu... ila mkumbuke makundi CCM yalishavunjwa.... nafaa kuwa rais for sure ila msitengemee kuwa mtawavuna wafuasi wake,,, wako kwa mzee wa data already
 
Kiukweli chidou una akili sana. Am with u 100%

Mkuu nimefunga Ofc kuingia jf nakuta Watu wanapima upepo kwenye vitu serious. Chadema waache ujinga huo kabisa. Rais ni Dr. Tanzania nzima tu najua.
 
Salary Slip, mpaka sasa unatoa tathmini gani kuhusiana na hii poll uliyoianzisha na response unayoipata? Je lengo lako la kuanzisha thread kama hii imefanikiwa na kwa kiwango gani? Mimi naamini unapata kile unachostahili kwani mtu huwezi kupanda maharage ukategemea kuvuna nyanya! Hao akina Elungata, Ruttashobolwa n.k. ndio UKAWA limbukeni! Watu wenyewe pamoja na ID zao kibao hawafiki hata mia moja ndani ya JF na pale watakapoisha ndipo labda utaweza kupata response ya wana UKAWA wenyewe.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hii poll itawapa mwanga viongozi wetu wa UKAWA katika kufanya maamuzi ingawa huenda imechelewa.
 
Last edited by a moderator:
upinzani tunamwitaji lowasa ila si kwa nafasi ya urais.
 
Afadhali mara kumi UKAWA ikose Urais kwa heshima (hiyo ndio demokrasia) kuliko kuuukosa kwa kujipaka kinyesi na huyu fisadi na mpenda madaraka kwa kufa na kupona. Kwa hakika CHADEMA tutakuwa tumejipaka matope kama sio kinyesi, na heshima yote tuliyojizolea kama wapinzani waleta maendeleo (kwa kuitoa usingizini serikali ya CCM) itakuwa imetoweka. Please, please, please wafikishie ujumbe viongozi wasiingie kwenye mtego, tena mtego mdogo wa panya!!!
 
Nasema toka moyoni Kabisa tena kwa uchungu Chadema acheni hii mambo. Kama mnapima upepo nawaomba Kabisa. Mtatuambia nini sisi Watu Wa mMwanza tulioacha shughuli zetu na kuimba Rais Rais mji mzima. Halafu mlete mambo ya ajabu. Acheni kama mnasikia. Huu Uzi umeniharibia siku Kabisa.

ndugu yangu tulia,siasa haiendeshwi kwa mihemko na hisia,harakati za siasa hazina formula,kinachoangaliwa ni end results tu,kama umepataje hayo matokeo ya mwisho haijalishi umepataje!hivyo nakushauri tulia tushikamane tupate matokeo yaleyale yatarajiwayo
 
Back
Top Bottom