Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.
Swali gani hilo? Acha utoto
Hivi Lowassa ni nani hasa kwenye siasa za Tanzania? Kama yeye mwenyewe alishindwa kujisafisha tangu alipolazimishwa kujiuzulu u PM, leo mnatarajia aje kujisafishia CDM? Yaani Uongozi wa CDM hata kutafakari tu kufanya mazungumzo na Lowassa ni kuisaliti CDM yenyewe na wanachama wake! Badala yake CDM inatakiwa kutafakari namna ya kumshughulikia Lowassa mpaka ataje na washrika wake wote washughulikiwe kisheria!
Mleta mada uko upande fulani wa HAPANA, na graph ya hizi kura zinazopigwa hapa umeziwekea formula flani (X+3). Kila mmtu akipiga kura ya ndio, kura za HAPANA zinaongezeka kwa x+3. Tafadhali rekebisha, usitufanye wajinga,,,,