issakwisa6810
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 309
- 84
Mimi siungi mkono hata % 0 tafadhari chadema msituchefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali mara kumi UKAWA ikose Urais kwa heshima (hiyo ndio demokrasia) kuliko kuuukosa kwa kujipaka kinyesi na huyu fisadi na mpenda madaraka kwa kufa na kupona. Kwa hakika CHADEMA tutakuwa tumejipaka matope kama sio kinyesi, na heshima yote tuliyojizolea kama wapinzani waleta maendeleo (kwa kuitoa usingizini serikali ya CCM) itakuwa imetoweka. Please, please, please wafikishie ujumbe viongozi wasiingie kwenye mtego, tena mtego mdogo wa panya!!!
I luv lowassa
Ndio naunga mkono