hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,890
- 2,795
La hashaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,mbona swali liko wazi kabisa?!Mtunga Swali umekosea, na huwezi kutumia Swali kama hili kupata maoni ya kiutafiti maana litakululetea majibu ambayo sio rahisi kutolea tafsiri.
Mfano aliye jibu hapana anaimanisha nini? Lowasa ahamie chadema na awe mwanachama wa kawaida, asihamie chadema kabisa, au ahamie lakini asiwe mgombea urais?
Mkuu,mbona swali liko wazi kabisa?!
Alafu utambue tu,issue kubwa si Lowassa kuwa mwanachama wa kawaida tu, bali issue kubwa hapa ni swala la Lowassa kugombea uraisi kupitia CHADEMA/UKAWA.
Mleta mada uko upande fulani, na graph ya hizi kura zinaopigwa hapa umezikea fomula flani (X+3). Ila ukipiga kura ya ndio, kura za no zinaongezeka kwa x+3. Tafadhali rekebisha, usitufanye wajinga,,,,
damu za waliopoteza maisha kwa sababu ya cdm zitawaangamiza wote wanaoinjinia huu mpango,ole wenu iwe kweli,mnakufa mkitembea
Ni mpuuzi tu na mwendawazimu ndio anaeweza kuwa na mawazo kama yako.