challebahu maige nim
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 315
- 77
Ndio kwa kuamia, hapana kwa kugombea , akigombea siendi kupiga kura kwani lowasa na magufuli wote siwataki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kidogo mkuu!Mnyukano mkali hasa.
Hili ni jambo ambalo hata mimi niliwahi kujiuliza labda nae abanwe kisheria vinginevyo kuna hatari ingawa bado naamini Lowassa kwa sasa hana hamu na CCM.Nawaza tu hapa. Chadema wamekubali Lowasa anapitishwa then one week before uchaguzi anajitoa au kumuunga mkono Magufuli. Si bao la mkono litakuwa limetimia hilo kama Nape anavyosema! Tafakalini kwa umakini hapo
Hawa ndio watanzania waliopata bahati ya kusoma lakini sidhani kama elimu waliyoipata inawasaidi kutafakari na kuchambua mambo!Unahangaika na Lowassa badala ya kuhangaika na maisha yako. Kila siku kufungua tu thread za Lowassa. Ina maana upo idle sana nini? Hii ni thread sijui ya ngapi unaanzisha kuhus Lowasa b-w-e-g-e wewe. Huyo Lowasa ni mzazi wako? Huwezi kuwa na akili ukawa unaanzisha thread za kijinga jinga kama hizi. Lowasa ashakuwa historia.