Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana na napinga kwa moyo wangu wote na siku akihamia CHADEMA/UKAWA nitaacha kushabikia na kufuatilia siasa na UKAWA watakua wamewasilit waTZ
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.

Kabisa mkuu,hata mtoa mada anajulikana ni gamba akitarajia kuchafua harakati,ccm wanamuogopa mno lowassaCCM ndo wanaongoza kwa kupinga
Kwa kweli wanachama wengine mtatutoa bure chamani. Siungi mkono kabisa kumpa nafasi hiyo. Walipaswa wafanye utafiti kwanza kujua hali ikoje kwa wapiga kura