Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Naipenda sana chadema, lakini pasipo lowassa kusimama na kueleza kuhusu richmond kabla ya kusimamishwa kuwa mgombea,
SITAMPA KURA YNG NA NITAHAMA CHADEMA.
 
Naipenda sana chadema, lakini pasipo lowassa kusimama na kueleza kuhusu richmond kabla ya kusimamishwa kuwa mgombea,
SITAMPA KURA YNG NA NITAHAMA CHADEMA.

Bila shaka Lowassa atateua kitendawili cha nani hasa alikuwa mmiliki wa Richmond.
 
lowassa akaribishwe chadema haraka iwezekanavyo.
 
Ndioooooooooo...............!! Hatutaki goli la mkona na hata extra time.
 
ndiooooooooooo.....

Najua hapa wale wana CCM wote watasema hapana...!!!

Ndio mkoma sasa, anahamia Chadema na mamilioni ya wafuasi wake...yaani
 
Back
Top Bottom