Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wew ndo una uwezo mkubwa wa kuchambua mambo kwa kumshabikia Lowassa? Mimi sio mpuuzi kama wewe wa kuweka matumaini yangu kwa wanasiasa. Kila siku lowasa Lowasa. Nchi hii ina matatizo mengi ya kujadili.Sasa mnkaa mnajadili mtu mmoja yeye ni Mungu kwni? asingekuwepo ungefanyeje. Get a life b-w-e-g-e wewe. Mnapoteza muda kujadili kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine badala ya ku brainstorm constructive ideas kwa ajili ya nchi yetu. Huyo Lowasa mlikuwa mnamtukana leo mnamuona masihi. Yaani mpo tayari kufanya chochote ili mradi muingie Ikulu. Hamna tofauti na hao mnaotaka watoke Ikulu. Acha kupoteza muda Jamii forums kuandika ma topic ambayo hayawezi kubadilisha maisha yako.Hawa ndio watanzania waliopata bahati ya kusoma lakini sidhani kama elimu waliyoipata inawasaidi kutafakari na kuchambua mambo!
Mawazo yako ni ya karne ya 15 kurudi nyuma!
NDIYOO....... Wanaosema ni fisadi kama wanao ushahidi wampeleke mahakamani sia kumsingizia.....
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?
Jibu Ndio/Hapana/Sijui
Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.