Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Kinachohitajika sasa hivi ni engine overhaul by any means, nikimaanisha kuifuta serikali za CCM, hayo mengine ni marekebisho taratibu!
 
Kwa nini HAPANA nyingi ni za ccm wanaogopa nin?
 
Ndioooooo. Namkubali sana huyu mzee hata siku alivokatwa iliniuma kama katolewa nje baba yangu vile.
Nilikua ccm akihama nahama nae.
 
Ndiooo mwenye dhambi
Mmoja akigeuka mbingu inafurahi
 
Hivi nyie watu vip?mmeishamtosa Dr Slaa mara hii?sijui Dr Slaa anajisikiaje anapoona wanaChadema wanavyokoa Lowassa ndiye awe mgombea urais wao.Maana yake muda wote mlikuwa mnaona Dr Slaa hatoshi?
 
Kwa nini HAPANA nyingi ni za ccm wanaogopa nin?

Yaan ukitoa hapana za CCM utaona kuwa za Chadema hapo zimejaa NDIYO, ndio najiuliza kumbe mlikuwa mnajua Dr Slaa hafai kuwa Rais mpaka mnaanza kukomaa sasa na Lowasa?kaazi kwelikweli
 
Yaan ukitoa hapana za CCM utaona kuwa za Chadema hapo zimejaa NDIYO, ndio najiuliza kumbe mlikuwa mnajua Dr Slaa hafai kuwa Rais mpaka mnaanza kukomaa sasa na Lowasa?kaazi kwelikweli

Itakuwa furaha mbiguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu. Lowasa kazi moja anayokuja kufanya ni kuitoa ccm kwanza then anatuachia tuendelee na safari yetu. Mimi nitaunga mkono yeyote mwenye uwezo wa kuing'oa ccm tu awe fisadi au asiwe fisadi potelea mbali.
 
Ndiyo 100%, vyovyote iwavyo EL hata akibaki ccm wamekwisha mwona kuwa hana jipya zaidi wanaomba asifanye maamuzi magumu ya kuhamia Chadema ili baadae wamshughulikie. So kwenda kwake Chadema ni kama msumali wa moto kwa ccm, wanahofu ya kushindwa. Wanaogopa kusoma namba!
 
Sijui nani katengeneza hiyo Poll. Mimi nimepiga mara 2 na imekubali...
 
kaskazi imepigia ndio

Cc Michael Aweda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom