Vianelly Vian
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 337
- 100
Kwa mwanamabadiliko yeyote wa kweli atakubaliana na hili,kama ni kweli dhamira yetu ni kuitoa ccm madarakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watanzania na hasa wanachadema mbona mnakuwa wapumbav namna hii, lowasa siku zote tumekuwa tukimpigia kelele kuwa ni fisadivila leo hii baada ya mbowe kuhongwa bilion kumi lowasa amrkuwa lulu, kama hiki ndio chama mbadala wa ccm ni bora tuenfelee kutawaliwa na ccm
Kwa mwanamabadiliko yeyote wa kweli atakubaliana na hili,kama ni kweli dhamira yetu ni kuitoa ccm madarakani
Kwa hiyo wew ndo una uwezo mkubwa wa kuchambua mambo kwa kumshabikia Lowassa? Mimi sio mpuuzi kama wewe wa kuweka matumaini yangu kwa wanasiasa. Kila siku lowasa Lowasa. Nchi hii ina matatizo mengi ya kujadili.Sasa mnkaa mnajadili mtu mmoja yeye ni Mungu kwni? asingekuwepo ungefanyeje. Get a life b-w-e-g-e wewe. Mnapoteza muda kujadili kuhama kwa wanasiasa kutoka chama kimoja kwenda kingine badala ya ku brainstorm constructive ideas kwa ajili ya nchi yetu. Huyo Lowasa mlikuwa mnamtukana leo mnamuona masihi. Yaani mpo tayari kufanya chochote ili mradi muingie Ikulu. Hamna tofauti na hao mnaotaka watoke Ikulu. Acha kupoteza muda Jamii forums kuandika ma topic ambayo hayawezi kubadilisha maisha yako.