Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
Hapana na napinga kwa moyo wangu wote na siku akihamia CHADEMA/UKAWA nitaacha kushabikia na kufuatilia siasa na UKAWA watakua wamewasilit waTZ
 
Hapana na napinga kwa moyo wangu wote na siku akihamia CHADEMA/UKAWA nitaacha kushabikia na kufuatilia siasa na UKAWA watakua wamewasilit waTZ

Ukawa watakua wametuzihirishia kuwa hawafai
 
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu Ndio/Hapana/Sijui

Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.

Mkuu kabla ya kupiga kura yangu ninaona walakini katika majibu! Yaani kuna watu watakaopiga/waliopiga kura tayari lakini kuna mkanganyiko.

1. Wapo watakaopiga kua Lowassa kwenda CHADEMA na asigombee urais.
2. Wapo watakaopiga kura aende kura CHADEMA na agombee urais.

Sijui mtowatofautishahe hapo, maana hiyo yaweza leta dosari katika poll.
 
Kwa kweli wanachama wengine mtatutoa bure chamani. Siungi mkono kabisa kumpa nafasi hiyo. Walipaswa wafanye utafiti kwanza kujua hali ikoje kwa wapiga kura
 
Wengi wa watoa maoni humu ni mashabiki tu wa wanasiasa na siasa,hawajui siasa na hawajawahi kushiriki.laiti kama mngekuwa mnaijua vema siasa kwa kuifanya mngejifunza kutarajia yasiyotarajiwa
 
Je,utaunga mkono uamuzi wowote wa kumfanya Lowassa awe mgombea uraisi kwa ticket ya CHADEMA/UKAWA endapo uamuzi huo utafikiwa?

Jibu Ndio/Hapana/Sijui

Kura hii inawahusu Pro-UKAWA wote na wengine wenye kuunga mkono umoja huu tu.

haya ndo matatizo yenu, mnapika data bila kufanya uchunguzi, mtakeep kuikimbiza red-mark mtachoka. haya bana.
 
Back
Top Bottom